Wakulima sehemu mbalimbali China wawa na pilika pilika kabla ya siku ya Chunfen (6)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 20, 2025
Wakulima sehemu mbalimbali China wawa na pilika pilika kabla ya siku ya Chunfen
Picha iliyopigwa Machi 19, 2025 ikionyesha droni zikifanya kazi kwenye shamba la kanola katika Kijiji cha Shangbai cha Wilaya ya Deqing, Mkoa wa Zhejiang, mashariki mwa China. (Picha na Xie Shangguo/Xinhua)

Leo Machi 20 ni siku ya Chunfen kwa kalenda ya kilimo ya China, ambayo ni siku ya kuanza kipindi cha mlingano wa usiku na mchana katika majira ya mchipuko, na wakulima wa sehemu mbalimbali nchini China wamekuwa katika pilikapilika za kufanya kazi mashambani kabla ya siku hiyo. 

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha