

Lugha Nyingine
Wakulima sehemu mbalimbali China wawa na pilika pilika kabla ya siku ya Chunfen (5)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 20, 2025
![]() |
Mkulima anayeendesha mashine ya kilimo akilima shamba katika Kijiji cha Shijia cha mji Yongzhou wa Mkoa wa Hunan, katikati mwa China, Machi 18, 2025 (Picha na Jiang Keqing/Xinhua) |
Leo Machi 20 ni siku ya Chunfen kwa kalenda ya kilimo ya China, ambayo ni siku ya kuanza kipindi cha mlingano wa usiku na mchana katika majira ya mchipuko, na wakulima wa sehemu mbalimbali nchini China wamekuwa katika pilikapilika za kufanya kazi mashambani kabla ya siku hiyo.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma