Wakulima sehemu mbalimbali China wawa na pilika pilika kabla ya siku ya Chunfen (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 20, 2025
Wakulima sehemu mbalimbali China wawa na pilika pilika kabla ya siku ya Chunfen
Mkulima akiendesha mashine ya kupanda viazi kwenye shamba katika Mji wa Wilaya ya Wutai ya mji Linyi wa Mkoa wa Shandong, mashariki mwa China, Machi 18, 2025. (Picha na Wu Jiquan/Xinhua)

Leo Machi 20 ni siku ya Chunfen kwa kalenda ya kilimo ya China, ambayo ni siku ya kuanza kipindi cha mlingano wa usiku na mchana katika majira ya mchipuko, na wakulima wa sehemu mbalimbali nchini China wamekuwa katika pilikapilika za kufanya kazi mashambani kabla ya siku hiyo. 

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha