Wakulima sehemu mbalimbali China wawa na pilika pilika kabla ya siku ya Chunfen (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 20, 2025
Wakulima sehemu mbalimbali China wawa na pilika pilika kabla ya siku ya Chunfen
Mkulima akichuma cherries kwenye banda la kilimo cha kisasa katika Kijiji cha Yuzishan cha mji Zaozhuang wa Mkoa wa Shandong, mashariki mwa China, Machi 19, 2025. (Picha na Li Zongxian/Xinhua)

Leo Machi 20 ni siku ya Chunfen kwa kalenda ya kilimo ya China, ambayo ni siku ya kuanza kipindi cha mlingano wa usiku na mchana katika majira ya mchipuko, na wakulima wa sehemu mbalimbali nchini China wamekuwa katika pilikapilika za kufanya kazi mashambani kabla ya siku hiyo. 

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha