

Lugha Nyingine
Shughuli mbalimbali zafanyika sehemu mbalimbali za China kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 07, 2025
![]() |
Wanafunzi wakiwapa maua walimu wao kwenye shule ya msingi mjini Wuhan, Mkoa wa Hubei, katikati mwa China, Machi 6, 2025. (Picha na Zhao Jun/Xinhua) |
Shughuli mbalimbali zinafanyika katika sehemu mbalimbali nchini China kwa ajili ya kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani ya Tarehe 8 Machi kila mwaka.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma