Shughuli mbalimbali zafanyika sehemu mbalimbali za China kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 07, 2025
Shughuli mbalimbali zafanyika sehemu mbalimbali za China kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani
Mwanamke akijifunza kutengeneza kofia zenye maua ya kuvaa kichwani na binti yake kwenye shughuli ya kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani katika shule ya chekechea mjini Huangshan, Mkoa wa Anhui, mashariki mwa China, Machi 6, 2025. (Picha na Fan Chengzhu/Xinhua)

Shughuli mbalimbali zinafanyika katika sehemu mbalimbali nchini China kwa ajili ya kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani ya Tarehe 8 Machi kila mwaka. 

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha