Shughuli mbalimbali zafanyika sehemu mbalimbali za China kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 07, 2025
Shughuli mbalimbali zafanyika sehemu mbalimbali za China kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani
Wanawake wakishiriki kwenye darasa la namna ya kujiremba katika Mji wa Huzhou, Mkoa wa Zhejiang, mashariki mwa China, Machi 6, 2025 (Xinhua/Weng Xinyang)

Shughuli mbalimbali zinafanyika katika sehemu mbalimbali nchini China kwa ajili ya kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani ya Tarehe 8 Machi kila mwaka. 

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha