Lugha Nyingine
Juhudi za kurejesha hali ya kawaida baada ya mvua kubwa zaendelea Hainan, China (7)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 16, 2026
![]() |
| Picha iliyopigwa kwa droni Septemba 15, 2026 ikionesha wafanyakazi wakisafisha matope barabarani baada ya mafuriko katika Wilaya Inayojiendesha ya Makabila ya Wali na Wamiao ya Baoting, Mkoa wa Hainan, kusini mwa China, Septemba 15, 2026. (Xinhua/Pu Xiaoxu) |
Kadiri ukali na kiwango cha mvua kubwa vilivyopungua, Mkoa wa Hainan umeanza juhudi zote za urejeshaji wa hali ya kawaida baada ya maafa katika maeneo mbalimbali ya mkoa huo.
(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




