Juhudi za kurejesha hali ya kawaida baada ya mvua kubwa zaendelea Hainan, China (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 16, 2026
Juhudi za kurejesha hali ya kawaida baada ya mvua kubwa zaendelea Hainan, China
Mashine ya uchimbaji ikiondoa vifusi vilivyoziba mkondo wa mto chini ya daraja huko Qionghai, Mkoa wa Hainan, kusini mwa China, Septemba 14, 2026. (Xinhua/Pu Xiaoxu)

Kadiri ukali na kiwango cha mvua kubwa vilivyopungua, Mkoa wa Hainan umeanza juhudi zote za urejeshaji wa hali ya kawaida baada ya maafa katika maeneo mbalimbali ya mkoa huo. 

(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)

Picha