Lugha Nyingine
Juhudi za kurejesha hali ya kawaida baada ya mvua kubwa zaendelea Hainan, China (2)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 16, 2026
![]() |
| Wafanyakazi wa tawi la Hainan la Kampuni ya Gridi ya Taifa ya China Kusini wakikarabati vifaa vya umeme huko Wuzhishan, Mkoa wa Hainan, kusini mwa China, Septemba 15, 2026. (Xinhua/Yang Guanyu) |
Kadiri ukali na kiwango cha mvua kubwa vilivyopungua, Mkoa wa Hainan umeanza juhudi zote za urejeshaji wa hali ya kawaida baada ya maafa katika maeneo mbalimbali ya mkoa huo.
(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




