Watu wafurahia Mapumziko ya Sikukuu ya Duanwu kwa shughuli mbalimbali katika sehemu mbalimbali nchini China (8)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 22, 2026
Watu wafurahia Mapumziko ya Sikukuu ya Duanwu kwa shughuli mbalimbali katika sehemu mbalimbali nchini China
Mtalii akipiga picha katika Bustani ya Kitaifa ya Ukaguzi wa Mabaki ya Kale ya Majengo ya Mji wa Sui-Tang Luoyang katika Mji wa Luoyang, Mkoa wa Henan, katikati mwa China, Juni 20, 2026. (Picha na Huang Zhengwei/Xinhua)

Watu wamefurahia mapumziko ya siku tatu ya Sikukuu ya Duanwu, ambayo pia inajulikana kwa jina la Sikukuu ya Mashua ya Dragoni, ambayo iliangukia siku ya Ijumaa Juni 19 kwa mwaka huu na kuendelea hadi jana Jumapili, kupitia shughuli mbalimbali katika sehemu mbalimbali nchini China.

(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)

Picha