Watu wafurahia Mapumziko ya Sikukuu ya Duanwu kwa shughuli mbalimbali katika sehemu mbalimbali nchini China (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 22, 2026
Watu wafurahia Mapumziko ya Sikukuu ya Duanwu kwa shughuli mbalimbali katika sehemu mbalimbali nchini China
Watalii wakishiriki kwenye mchezo wa mashua ya dragoni ardhini katika mji wa kale wa Yangliuqing, huko Tianjin, kaskazini mwa China, Juni 21, 2026. (Xinhua/Li Ran)

Watu wamefurahia mapumziko ya siku tatu ya Sikukuu ya Duanwu, ambayo pia inajulikana kwa jina la Sikukuu ya Mashua ya Dragoni, ambayo iliangukia siku ya Ijumaa Juni 19 kwa mwaka huu na kuendelea hadi jana Jumapili, kupitia shughuli mbalimbali katika sehemu mbalimbali nchini China.

(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)

Picha