Lugha Nyingine
Watu wafurahia Mapumziko ya Sikukuu ya Duanwu kwa shughuli mbalimbali katika sehemu mbalimbali nchini China (7)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 22, 2026
![]() |
| Watu wakipiga picha za machweo ya jua kwenye bandari ya Tanmen, huko Qionghai, Mkoa wa Hainan, kusini mwa China, Juni 21, 2026. (Picha na Meng Zhongde/Xinhua) |
Watu wamefurahia mapumziko ya siku tatu ya Sikukuu ya Duanwu, ambayo pia inajulikana kwa jina la Sikukuu ya Mashua ya Dragoni, ambayo iliangukia siku ya Ijumaa Juni 19 kwa mwaka huu na kuendelea hadi jana Jumapili, kupitia shughuli mbalimbali katika sehemu mbalimbali nchini China.
(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




