Maonyesho ya 8 ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa ya China Yafungwa Shanghai (9)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 11, 2025
Maonyesho ya 8 ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa ya China Yafungwa Shanghai
Picha hii iliyopigwa Novemba 10, 2025 ikimwonyesha Jinbao, kileta baraka cha Maonyesho ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa ya China (CIIE), kwenye eneo la wazi la kusini la Kituo cha Kitaifa cha Maonyesho na Mikutano cha Shanghai, mashariki mwa China. (Xinhua/Wang Xiang)

Maonyesho ya nane ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa ya China (CIIE) ambayo yalifanyika rasmi kuanzia Novemba 5, siku ya Jumatano wiki iliyopita mjini Shanghai, mashariki mwa China, yamemalizika rasmi jana Jumatatu, Novemba 10.

(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)

Picha