Lugha Nyingine
Maonyesho ya 8 ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa ya China Yafungwa Shanghai (8)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 11, 2025
Maonyesho ya nane ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa ya China (CIIE) ambayo yalifanyika rasmi kuanzia Novemba 5, siku ya Jumatano wiki iliyopita mjini Shanghai, mashariki mwa China, yamemalizika rasmi jana Jumatatu, Novemba 10.
(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




