Maonyesho ya 8 ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa ya China Yafungwa Shanghai (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 11, 2025
Maonyesho ya 8 ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa ya China Yafungwa Shanghai
Picha hii ikionyesha mwonekano wa Kituo cha Kitaifa cha Maonyesho na Mikutano cha Shanghai, ambapo ni ukumbi mkuu wa Maonyesho ya nane ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa ya China (CIIE) mjini Shanghai, mashariki mwa China, Novemba 10, 2025. (Xinhua/Cai Xiangxin)

Maonyesho ya nane ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa ya China (CIIE) ambayo yalifanyika rasmi kuanzia Novemba 5, siku ya Jumatano wiki iliyopita mjini Shanghai, mashariki mwa China, yamemalizika rasmi jana Jumatatu, Novemba 10.

(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)

Picha