Maonyesho ya 3 ya Kimataifa ya Minyororo ya Utoaji Bidhaa ya China yafunguliwa Beijing (7)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 17, 2025
Maonyesho ya 3 ya Kimataifa ya Minyororo ya Utoaji Bidhaa ya China yafunguliwa Beijing
Mtembeleaji maonyesho akijaribu kifaa cha michezo ya kompyuta cha uhalisia ulioongezwa, extended reality (XR) kwenye Maonyesho ya 3 ya China ya minyororo ya utoaji bidhaa ya Kimataifa yanayofanyika Beijing, mji mkuu wa China, Julai 16, 2025. (Xinhua/Jin Liwang)

Maonesho ya 3 ya Kimataifa ya Minyororo ya Utoaji Bidhaa ya China yakiwa na kaulimbiu ya "Kuunganisha Dunia kwa Mustakabali wa Pamoja," yamefunguliwa Beijing jana Jumtano. Maonesho hayo yanaandaliwa na Kamati ya Uhimizaji wa Biashara ya Kimataifa ya China. 

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha