Maonyesho ya 3 ya Kimataifa ya Minyororo ya Utoaji Bidhaa ya China yafunguliwa Beijing (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 17, 2025
Maonyesho ya 3 ya Kimataifa ya Minyororo ya Utoaji Bidhaa ya China yafunguliwa Beijing
Mfanyakazi akionyesha roboti ya upasuaji mifupa katika eneo la Mnyororo wa Bidhaa za Maisha ya Afya la Maonyesho ya 3 ya China ya minyororo ya utoaji bidhaa ya Kimataifa yanayofanyika Beijing, Julai 16, 2025. (Xinhua/Ren Chao)

Maonesho ya 3 ya Kimataifa ya Minyororo ya Utoaji Bidhaa ya China yakiwa na kaulimbiu ya "Kuunganisha Dunia kwa Mustakabali wa Pamoja," yamefunguliwa Beijing jana Jumtano. Maonesho hayo yanaandaliwa na Kamati ya Uhimizaji wa Biashara ya Kimataifa ya China. 

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha