Maonyesho ya 3 ya Kimataifa ya Minyororo ya Utoaji Bidhaa ya China yafunguliwa Beijing (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 17, 2025
Maonyesho ya 3 ya Kimataifa ya Minyororo ya Utoaji Bidhaa ya China yafunguliwa Beijing
Watu wakifahamishwa kuhusu roboti za usaidizi nyumbani kwenye eneo la Mnyororo wa Teknolojia za Kidijitali katika Maonyesho ya 3 ya China ya minyororo ya utoaji bidhaa ya Kimataifa yanayofanyika Beijing, mji mkuu wa China, Julai 16, 2025. (Xinhua/Zhang Chenlin)

Maonesho ya 3 ya Kimataifa ya Minyororo ya Utoaji Bidhaa ya China yakiwa na kaulimbiu ya "Kuunganisha Dunia kwa Mustakabali wa Pamoja," yamefunguliwa Beijing jana Jumtano. Maonesho hayo yanaandaliwa na Kamati ya Uhimizaji wa Biashara ya Kimataifa ya China. 

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha