

Lugha Nyingine
Mji wa Beijing watuma treni ya kwanza ya mizigo ya China-Ulaya katika mwaka 2025 (3)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 17, 2025
Mji wa Beijing wa China jana Jumatano umetuma treni yake ya kwanza ya mizigo ya China-Ulaya katika mwaka 2025. Inakadiriwa kuwa treni hiyo itasafiri umbali wa kilomita takriban 9000 kwa siku 16 hadi kufika Ulaya.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma