Mji wa Beijing watuma treni ya kwanza ya mizigo ya China-Ulaya katika mwaka 2025 (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 17, 2025
Mji wa Beijing watuma treni ya kwanza ya mizigo ya China-Ulaya katika mwaka 2025
Picha ya droni ikionyesha treni ya mizigo ya China-Ulaya inayoelekea Mji wa Moscow, Russia ikisubiri kuondoka katika kituo cha uchukuzi mjini Beijing, mji mkuu wa China, Aprili 16, 2025. (Xinhua/Zhang Chenlin)

Mji wa Beijing wa China jana Jumatano umetuma treni yake ya kwanza ya mizigo ya China-Ulaya katika mwaka 2025. Inakadiriwa kuwa treni hiyo itasafiri umbali wa kilomita takriban 9000 kwa siku 16 hadi kufika Ulaya. 

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha