Watu wa sehemu mbalimbali China watoa heshima kwa wahanga kabla ya Siku ya Qingming (8)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 03, 2025
Watu wa sehemu mbalimbali China watoa heshima kwa wahanga kabla ya Siku ya Qingming
Wanafunzi wakitoa heshima kwa wahanga mbele ya mnara wa kumbukumbu huko Yongzhou, Mkoa wa Hunan, katikati mwa China, Aprili 2, 2025. (Picha na Jiang Keqing/Xinhua)

Watu wa sehemu mbalimbali nchini China wameshiriki kwenye shughuli za kufagia makaburi na kutoa heshima kwa wahanga kabla ya Siku ya Qingming ya Tarehe 4 Aprili mwaka huu, ambayo ni siku ya jadi kwa Wachina kukumbuka watu waliojitolea mihanga na kukumbuka mababu.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha