Watu wa sehemu mbalimbali China watoa heshima kwa wahanga kabla ya Siku ya Qingming (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 03, 2025
Watu wa sehemu mbalimbali China watoa heshima kwa wahanga kabla ya Siku ya Qingming
Wanafunzi wakitoa heshima kwa wahanga kwenye makaburi ya wahanga katika mji wa Jiyuan, Mkoa wa Henan, katikati mwa China. (Picha na Duan Erping/Xinhua)

Watu wa sehemu mbalimbali nchini China wameshiriki kwenye shughuli za kufagia makaburi na kutoa heshima kwa wahanga kabla ya Siku ya Qingming ya Tarehe 4 Aprili mwaka huu, ambayo ni siku ya jadi kwa Wachina kukumbuka watu waliojitolea mihanga na kukumbuka mababu.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha