Ukumbi mkuu wa Maonyesho ya 7 ya CIIE waandaliwa kikamilifu (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 04, 2024
Ukumbi mkuu wa Maonyesho ya 7 ya CIIE waandaliwa kikamilifu
Wafanyakazi wa kampuni zinazoshiriki kwenye maonyesho hayo wakitembelea mabanda ya maonyesho katika Kituo cha Kitaifa cha Maonyesho na Mikutano (Shanghai), ukumbi mkuu wa Maonesho ya 7 ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa kutoka nje ya China (CIIE), mjini Shanghai, mashariki mwa China, Novemba 2, 2024. (Xinhua/Fang Zhe)

Kituo hiki kimeandaliwa kikamilifu ili kukaribisha maonyesho ya 7 ya CIIE, ambayo yameratibiwa kufanyika Shanghai kuanzia Novemba 5 hadi Novemba 10.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Renato Lu)

Picha