Ukumbi mkuu wa Maonyesho ya 7 ya CIIE waandaliwa kikamilifu (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 04, 2024
Ukumbi mkuu wa Maonyesho ya 7 ya CIIE waandaliwa kikamilifu
Picha hii iliyopigwa Novemba 2, 2024 inaonyesha uwanja wa kusini wa Kituo cha Kitaifa cha Maonyesho na Mikutano (Shanghai), ukumbi mkuu wa Maonyesho ya 7 ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa kutoka nje ya China (CIIE), katika Shanghai, mashariki mwa China. (Xinhua/Liu Ying)

Kituo hiki kimeandaliwa kikamilifu ili kukaribisha maonyesho ya 7 ya CIIE, ambayo yameratibiwa kufanyika Shanghai kuanzia Novemba 5 hadi Novemba 10.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Renato Lu)

Picha