Ukumbi mkuu wa Maonyesho ya 7 ya CIIE waandaliwa kikamilifu (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 04, 2024
Ukumbi mkuu wa Maonyesho ya 7 ya CIIE waandaliwa kikamilifu
Wafanyakazi wakiweka mabanda kwa ajili ya Maonyesho ya 7 ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa kutoka nje ya China (CIIE) yajayo katika Kituo cha Kitaifa cha Maonyesho na Mikutano (Shanghai), ukumbi mkuu wa CIIE, mashariki mwa Shanghai, Novemba 2, 2024. Maandalizi ya Maonyesho ya 7 ya CIIE, ambayo yamepangwa kufanyika mjini Shanghai kuanzia Novemba 5 hadi 10, yameingia katika hatua ya mwisho. (Xinhua/Fang Zhe)

Kituo hiki kimeandaliwa kikamilifu ili kukaribisha maonyesho ya 7 ya CIIE, ambayo yameratibiwa kufanyika Shanghai kuanzia Novemba 5 hadi Novemba 10.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Renato Lu)

Picha