Ushirikiano wa Uchumi wa Kidijitali kati ya China na Afrika wasaidia kubadilisha miundo kuwa ya kidijitali barani Afrika

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 13, 2023
Ushirikiano wa Uchumi wa Kidijitali kati ya China na Afrika wasaidia kubadilisha miundo kuwa ya kidijitali barani Afrika
Picha iliyopigwa tarehe 8, Novemba 2023 huko Nairobi, Kenya ikionesha simu ya kampuni ya Transsion ya China. Mauzo ya simu ya kampuni hiyo kwa miaka mingi yameshika nafasi ya mbele katika soko la Afrika. Hivi sasa kampuni ya Transsion siyo tu inauza simu, bali pia inajenga “ikolojia ya kidijitali” inayojumuisha upashanaji wa habari, mawasiliano ya kijamii na burudisho, ikichangia maisha ya kila siku ya watu wa Afrika. (Picha ilipigwa na Li Yahui/Xinhua)

Katika miaka ya hivi karibuni, chini ya pendekezo la kujenga pamoja “Ukanda Mmoja, Njia Moja”, na Baraza la Ushirikiano wa China na Afrika (FOCAC), China inazisaidia kwa hamasa nchi za Afrika kupungua pengo la kidijitali katika ujenzi wa miundombinu ya mtandao wa intaneti, matumizi ya biashara ya kidijitali na kuandaa vipaji, ulipaji wa simu za mikononi na vyombo vya habari vya kijamii n.k.......Ushirikiano wa uchumi wa kidijitali kati ya China na Afrika unahusisha mambo mengi zaidi, na unasaidia Bara la Afrika kubadilisha miundo kuwa ya kidijitali na kunufaisha watu wa bara hilo.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha