Ushirikiano wa Uchumi wa Kidijitali kati ya China na Afrika wasaidia kubadilisha miundo kuwa ya kidijitali barani Afrika (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 13, 2023
Ushirikiano wa Uchumi wa Kidijitali kati ya China na Afrika wasaidia kubadilisha miundo kuwa ya kidijitali barani Afrika
Tarehe 18, Septemba, 2022, wanafunzi wakijifunza sanaa ya ukataji karatasi kwenye Kituo cha Ujasirimali na Uvumbuzi cha Vijana wa Afrika chenye ubia wa Shirika la Biashara la China na serikali ya Djibouti huko Djibouti, Djibouti. (Picha ilipigwa na Dong Jianghui/Xinhua)

Katika miaka ya hivi karibuni, chini ya pendekezo la kujenga pamoja “Ukanda Mmoja, Njia Moja”, na Baraza la Ushirikiano wa China na Afrika (FOCAC), China inazisaidia kwa hamasa nchi za Afrika kupungua pengo la kidijitali katika ujenzi wa miundombinu ya mtandao wa intaneti, matumizi ya biashara ya kidijitali na kuandaa vipaji, ulipaji wa simu za mikononi na vyombo vya habari vya kijamii n.k.......Ushirikiano wa uchumi wa kidijitali kati ya China na Afrika unahusisha mambo mengi zaidi, na unasaidia Bara la Afrika kubadilisha miundo kuwa ya kidijitali na kunufaisha watu wa bara hilo.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha