Ushirikiano wa Uchumi wa Kidijitali kati ya China na Afrika wasaidia kubadilisha miundo kuwa ya kidijitali barani Afrika (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 13, 2023
Ushirikiano wa Uchumi wa Kidijitali kati ya China na Afrika wasaidia kubadilisha miundo kuwa ya kidijitali barani Afrika
Picha hii iliyopigwa tarehe 10, Agosti 2023 ikionesha Kituo cha Takwimu cha Kitaifa cha Botswana huko Gaborone, Botswana (Picha ilipigwa na droni). Kituo cha kitaifa cha Takwimu cha Botswana kilichojengwa na Kampuni ya Ushirikiano wa Uchumi na Teknolojia wa Kimataifa ya Jiangxi ya China tawi la Botswana kiko kwenye Bustani ya Teknolojia ya Gaborone, na ujenzi wake unakadiriwa kukamilika kabla ya mwisho wa mwaka huu. (Picha ilitolewa na Kampuni ya Ushirikiano wa Uchumi na Teknolojia wa Kimataifa ya Jiangxi ya China tawi la Botswana/ilichapishwa na Xinhua)

Katika miaka ya hivi karibuni, chini ya pendekezo la kujenga pamoja “Ukanda Mmoja, Njia Moja”, na Baraza la Ushirikiano wa China na Afrika (FOCAC), China inazisaidia kwa hamasa nchi za Afrika kupungua pengo la kidijitali katika ujenzi wa miundombinu ya mtandao wa intaneti, matumizi ya biashara ya kidijitali na kuandaa vipaji, ulipaji wa simu za mikononi na vyombo vya habari vya kijamii n.k.......Ushirikiano wa uchumi wa kidijitali kati ya China na Afrika unahusisha mambo mengi zaidi, na unasaidia Bara la Afrika kubadilisha miundo kuwa ya kidijitali na kunufaisha watu wa bara hilo.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha