

Lugha Nyingine
Kifaa cha kurudi duniani kwa wanaanga wa Chombo cha anga ya juu cha Shenzhou-16 cha China chatua kwa mafanikio (7)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 31, 2023
Kifaa cha kurudi duniani kwa wanaanga wa Chombo cha kubeba binadamu kwenye anga ya juu cha Shenzhou-16 cha China kikiwa kimetua duniani kwa mafanikio kwenye Eneo la Kutua la Dongfeng katika Mkoa wa Mongolia ya Ndani, China leo tarehe 31, Oktoba.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma