

Lugha Nyingine
Kifaa cha kurudi duniani kwa wanaanga wa Chombo cha anga ya juu cha Shenzhou-16 cha China chatua kwa mafanikio (6)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 31, 2023
![]() |
Picha ikionesha mwanaanga Gui Haichao akitoka kwa mafanikio kwenye kifaa cha kurudi duniani kwa wanaanga kutoka anga ya juu. (Picha na Li Zhipeng/Xinhua) |
Kifaa cha kurudi duniani kwa wanaanga wa Chombo cha kubeba binadamu kwenye anga ya juu cha Shenzhou-16 cha China kikiwa kimetua duniani kwa mafanikio kwenye Eneo la Kutua la Dongfeng katika Mkoa wa Mongolia ya Ndani, China leo tarehe 31, Oktoba.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma