Kifaa cha kurudi duniani kwa wanaanga wa Chombo cha anga ya juu cha Shenzhou-16 cha China chatua kwa mafanikio (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 31, 2023
Kifaa cha kurudi duniani kwa wanaanga wa Chombo cha anga ya juu cha Shenzhou-16 cha China chatua kwa mafanikio
Picha ikionesha mwanaanga Zhu Yangzhu akitoka kwa mafanikio kwenye kifaa cha kurudi duniani kwa wanaanga kutoka anga ya juu. (Picha na Lian Zhen/Xinhua)

Kifaa cha kurudi duniani kwa wanaanga wa Chombo cha kubeba binadamu kwenye anga ya juu cha Shenzhou-16 cha China kikiwa kimetua duniani kwa mafanikio kwenye Eneo la Kutua la Dongfeng katika Mkoa wa Mongolia ya Ndani, China leo tarehe 31, Oktoba.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha