

Lugha Nyingine
Mandhari ya mafanikio ya "Ukanda Mmoja, Njia Moja" kutoka picha za angani za droni
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 11, 2023
Mwaka huu unasadifiana na miaka kumi tangu pendekeo la ujenzi wa pamoja wa "Ukanda Mmoja, Njia Moja" litolewe. Katika miaka kumi iliyopita, ushirikiano chini ya Pendekezo la "Ukanda Mmoja, Njia Moja" umepata mafanikio mengi, na mfululizo wa miradi alama imekamilika kusaidia maendeleo ya nchi mbalimbali na kuleta manufaa halisi kwa watu wa nchi zote. Ikitazamwa kutoka angani, "miradi hii alama ya kitaifa" inaonyesha ukubwa wao na kuwa kadi inayong'aa ya "Ujenzi wa China".
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma