Mandhari ya mafanikio ya "Ukanda Mmoja, Njia Moja" kutoka picha za angani za droni (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 11, 2023
Mandhari ya mafanikio ya
Picha hii ni jengo la makao makuu ya Kituo cha Afrika cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa iliyopigwa kwa droni Addis Ababa, mji mkuu wa Ethiopia, Septemba 10, Mwaka 2023. Mradi wa China na Umoja wa Afrika wa Makao Makuu ya Kituo cha Afrika cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa (awamu ya kwanza) ulikamilika Januari 2023. Ni kituo cha kwanza cha Afrika cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa katika Bara la Afrika kuwa na ofisi za kisasa na hali ya upimaji na vifaa kamili.

Mwaka huu unasadifiana na miaka kumi tangu pendekeo la ujenzi wa pamoja wa "Ukanda Mmoja, Njia Moja" litolewe. Katika miaka kumi iliyopita, ushirikiano chini ya Pendekezo la "Ukanda Mmoja, Njia Moja" umepata mafanikio mengi, na mfululizo wa miradi alama imekamilika kusaidia maendeleo ya nchi mbalimbali na kuleta manufaa halisi kwa watu wa nchi zote. Ikitazamwa kutoka angani, "miradi hii alama ya kitaifa" inaonyesha ukubwa wao na kuwa kadi inayong'aa ya "Ujenzi wa China".

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha