Mandhari ya mafanikio ya "Ukanda Mmoja, Njia Moja" kutoka picha za angani za droni (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 11, 2023
Mandhari ya mafanikio ya
Hii ni picha ya Barabara ya Kefe nchini Nigeria iliyopigwa Septemba 20, Mwaka 2023 kwa droni. Mradi wa kwanza wa ukarabati na upanuzi wa barabara kuu ya Keffi-Makurdi nchini Nigeria unafanywa na Kampuni ya Uhandisi wa Bandari ya China na utakamilika Mwaka 2023. Mradi huo umeleta urahisi mwingi kwa wakaazi wa eneo hilo na usafirishaji wa bidhaa, umetoa fursa za ajira kwa wenyeji na kukuza wataalamu wa ujenzi wa barabara kuu.

Mwaka huu unasadifiana na miaka kumi tangu pendekeo la ujenzi wa pamoja wa "Ukanda Mmoja, Njia Moja" litolewe. Katika miaka kumi iliyopita, ushirikiano chini ya Pendekezo la "Ukanda Mmoja, Njia Moja" umepata mafanikio mengi, na mfululizo wa miradi alama imekamilika kusaidia maendeleo ya nchi mbalimbali na kuleta manufaa halisi kwa watu wa nchi zote. Ikitazamwa kutoka angani, "miradi hii alama ya kitaifa" inaonyesha ukubwa wao na kuwa kadi inayong'aa ya "Ujenzi wa China".

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha