Watafiti wa "Kisiwa cha Sayansi" wajikita katika maendeleo ya safari kwenye anga ya juu ya China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 23, 2023

https://english.news.cn/20230423/a80838f4b3924e049f6b6ed3c93a440d/20230423a80838f4b3924e049f6b6ed3c93a440d_20230423358a69fb141a421db6d6de874a0870f2.jpg

Liu Wangli, Mfanyakazi wa Idara ya Utafiti wa Fizikia ya Hali Yabisi ya Taasisi Kuu ya Sayansi ya China (CAS), akifanya kazi kwenye Idara ya Utafiti wa Sayansi ya Fizikia ya Hefei ya CAS huko Hefei, Mji Mkuu wa Mkoa wa Anhui, Mashariki mwa China, Aprili 19, 2023.

Kikiwa nje kidogo ya Mji wa Hefei, "Kisiwa cha Sayansi" ni nyumbani kwa Idara ya Utafiti wa Sayansi ya Fizikia ya Hefei ya Taasisi Kuu ya Sayansi ya China. Kwenye "kisiwa” hicho, kundi la watafiti wa kisayansi, wanaojikita katika kushughulikia kazi ya kupata ufumbuzi wa matatizo makubwa katika teknolojia za safari kwenye anga ya juu, satelaiti na sehemu muhimu za vyombo vya anga ya juu, wanajitolea kwa ajili ya maendeleo ya safari kwenye anga ya juu ya China. (Xinhua/Huang Bohan)

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha