Watafiti wa "Kisiwa cha Sayansi" wajikita katika maendeleo ya safari kwenye anga ya juu ya China (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 23, 2023

https://english.news.cn/20230423/a80838f4b3924e049f6b6ed3c93a440d/20230423a80838f4b3924e049f6b6ed3c93a440d_202304237085808fe45646ddb700900601f4d7e8.jpg

Mtafiti Han Fusheng (wa kwanza kushoto) na mtafiti msaidizi Wang Xingfu (wa kwanza kulila) kutoka timu maalum ya utafiti wa vifaa vya chuma vya vyombo vya anga ya juu ya Idara ya Utafiti wa Fizikia ya Hali Yabisi ya Taasisi Kuu ya Sayansi ya China (CAS) wakiwaelekeza wanafunzi namna ya kutumia spectrometer ya kusoma moja kwa moja katika Idara ya Utafiti wa Sayansi ya Fizikia ya Hefei ya CAS mkoani Anhui, China, Tarehe 19 Aprili 2023. (Xinhua/Huang Bohan)

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha