Watafiti wa "Kisiwa cha Sayansi" wajikita katika maendeleo ya safari kwenye anga ya juu ya China (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 23, 2023

https://english.news.cn/20230423/a80838f4b3924e049f6b6ed3c93a440d/20230423a80838f4b3924e049f6b6ed3c93a440d_20230423de55730e48764ce0b4104a0814421868.jpg

Jiang Weibin, mtafiti wa Idara ya Utafiti wa Fizikia ya Hali Yabisi ya Taasisi Kuu ya Sayansi ya China (CAS) akipima uimara wa mitambo kwenye Idara ya Utafiti wa Sayansi ya Fizikia ya Hefei ya CAS huko Hefei mkoani Anhui, China, Tarehe 19 Aprili 2023. (Xinhua/Huang Bohan)

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha