Mpango wa Kilimo cha Akili Waongeza ufanisi wa Uzalishaji wa Kilimo mkoani Jiangxi (8)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 10, 2022
Mpango wa Kilimo cha Akili Waongeza ufanisi wa Uzalishaji wa Kilimo mkoani Jiangxi
Mashine ya kulinda mimea isiyoendeshwa na biandamu ikifanya kazi kwenyeshamba la ushirika wa Kijiji cha Datian cha Wilaya ya Nanchang ya Mkoa wa Jiangxi wa Mashariki mwa China Machi 8, 2022. (Xinhua/Peng Zhaozhi)
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha