Mpango wa Kilimo cha Akili Waongeza ufanisi wa Uzalishaji wa Kilimo mkoani Jiangxi (6)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 10, 2022
Mpango wa Kilimo cha Akili Waongeza ufanisi wa Uzalishaji wa Kilimo mkoani Jiangxi
Mfanyakazi akikagua hali ya kazi ya kilimo katika majira ya mchipuko ya ushirika wa Kijiji cha Datian kwa kupitia mfumo wa usimamizi na udhibiti wa kompyuta katika Wilaya ya Nanchang ya Mkoa wa Jiangxi wa Mashariki mwa China Machi 8, 2022. (Xinhua/Peng Zhaozhi)
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha