Lugha Nyingine
Shughuli ya Siku ya Meli ya "Xuelong 2" ya China kufunguliwa kwa umma yafanyika Hainan (5)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 06, 2026
![]() |
| Tarehe 5 Novemba 2026, picha zilizopigwa kwa droni zikionyesha meli ya kuvunja barafu ya China "Xuelong 2" inayotia nanga katika Bandari ya Nanshan ya mji wa Sanya mkoani Hainan. (Xinhua/Guo Cheng) |
Tarehe 5, meli ya "Xuelong 2" ilitia nanga na kuongezwa nishati na vitu vinavyohitaji kwenye gati la utafiti wa kisayansi la Bandari ya Nanshan huko Sanya ya mkoa wa Hainan, China, na ilifanya shughuli ya siku ya kufunguliwa kwa umma hapo.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Renato Lu)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




