Shughuli ya Siku ya Meli ya "Xuelong 2" ya China kufunguliwa kwa umma yafanyika Hainan (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 06, 2026
Shughuli ya Siku ya Meli ya
Tarehe 5 Novemba 2026, katika Bandari ya Nanshan ya mji wa Sanya wa Mkoa wa Hainan, watu wakitembelea kwenye sehemu ya warsha ya Dimbwi la Mwezi katika meli ya kuvunja barafu "Xuelong 2". (Xinhua/Guo Cheng)

Tarehe 5, meli ya "Xuelong 2" ilitia nanga na kuongezwa nishati na vitu vinavyohitaji kwenye gati la utafiti wa kisayansi la Bandari ya Nanshan huko Sanya ya mkoa wa Hainan, China, na ilifanya shughuli ya siku ya kufunguliwa kwa umma hapo.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Renato Lu)

Picha