Lugha Nyingine
Chombo cha China cha kuzamia chini kabisa baharini kikiwa na binadamu chakamilisha safari yake ya 467 ya kuzamia
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 14, 2026
![]() |
| Picha ya uchunguzi wa chini ya maji baharini ikipigwa na chombo cha kuzamia chini kabisa baharini kikiwa na binadamu, Jiaolong, Oktoba 11, 2026. (Kituo cha Taifa cha Bahari Kuu/kupitia Xinhua) |
Chombo cha China cha kuzamia chini kabisa baharini kikiwa na binadamu ndani yake, Jiaolong, kimekamilisha kwa mafanikio safari yake ya 467 ya kuzamia baharini. Uzamiaji wake huo ulifika kina cha mita takriban 4,400 .
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




