Lugha Nyingine
Chombo cha China cha kuzamia chini kabisa baharini kikiwa na binadamu chakamilisha safari yake ya 467 ya kuzamia (2)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 14, 2026
![]() |
| Chombo cha kuzamia chini kabisa baharini kikiwa na binadamu, Jiaolong, kikionekana baada ya safari yake ya 467 ya kuzamia baharini, Oktoba 11, 2026. (Xinhua/Li Xin) |
Chombo cha China cha kuzamia chini kabisa baharini kikiwa na binadamu ndani yake, Jiaolong, kimekamilisha kwa mafanikio safari yake ya 467 ya kuzamia baharini. Uzamiaji wake huo ulifika kina cha mita takriban 4,400 .
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




