Mashamba ya mpunga yaingia kwenye msimu wa mavuno huko Heilongjiang, China (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 16, 2026
Mashamba ya mpunga yaingia kwenye msimu wa mavuno huko Heilongjiang, China
Picha iliyopigwa Septemba 12, 2026 ikionesha treni ya mwendo kasi ikipita kwenye daraja juu ya mashamba ya mpunga Mjini Hailin katika Mkoa wa Heilongjiang wa China. (Picha na Zhang Chunxiang /Xinhua)

Hivi karibuni Mkoa wa Heilongjiang wa Kaskazini Mashariki mwa China unakumbatia msimu wa mavuno ya mpunga.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha