Mashamba ya mpunga yaingia kwenye msimu wa mavuno huko Heilongjiang, China (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 16, 2026
Mashamba ya mpunga yaingia kwenye msimu wa mavuno huko Heilongjiang, China
Picha iliyopigwa Septemba 15, 2026 ikionesha mandhari ya macheo juu ya mashamba ya mpunga ya Kundi la Beidahuang katika Mkoa wa Heilongjiang wa China. (Picha na Huang Yongxing /Xinhua)

Hivi karibuni Mkoa wa Heilongjiang wa Kaskazini Mashariki mwa China unakumbatia msimu wa mavuno ya mpunga.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha