China yaadhimisha Siku ya Walimu ya 42 kwa shughuli mbalimbali za kuwashukuru walimu (8)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 11, 2026
China yaadhimisha Siku ya Walimu ya 42 kwa shughuli mbalimbali za kuwashukuru walimu
Watoto na mwalimu wao wakicheza ngoma ya simba kwenye shule ya chekechea katika Mji wa Hai'an mkoani Jiangsu, mashariki mwa China, Septemba 10, 2026. (Picha na Zhou Qiang/Xinhua)

China imeadhimisha Siku ya Walimu ya 42 jana Alhamisi kwa kufanya shughuli mbalimbali za kutoa shukrani kwa walimu kote nchini.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha