China yaadhimisha Siku ya Walimu ya 42 kwa shughuli mbalimbali za kuwashukuru walimu (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 11, 2026
China yaadhimisha Siku ya Walimu ya 42 kwa shughuli mbalimbali za kuwashukuru walimu
Mwanafunzi akimpa mwalimu wake kadi ya salamu kwenye shule ya msingi katika Mji wa Yangzhou mkoani Jiangsu, mashariki mwa China, Septemba 10, 2026. (Picha na Ren Fei/Xinhua)

China imeadhimisha Siku ya Walimu ya 42 jana Alhamisi kwa kufanya shughuli mbalimbali za kutoa shukrani kwa walimu kote nchini.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha