Hali ya mafungamano ya zama za kale na za hivi sasa yaonekana kote nchini Misri (6)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 02, 2026
Hali ya mafungamano ya zama za kale na za hivi sasa yaonekana kote nchini Misri
Picha hii ilipigwa Agosti 13, 2026 ikionyesha Eneo la Biashara la Katikati (CBD) la mji mkuu mpya wa mambo ya utawala wa Misri, mashariki mwa Cairo, Misri. (Xinhua/Xin Mengchen)

Misri ni maskani ya ustaarabu wa zama za kale ambao ulistawi kando za Mto Nile. Kutoka mapiramidi ambayo yamesimama kidete kwa miaka elfu moja hadi miji yake ya kisasa yenye pilika nyingi, hali ya zama za kale na ya zama za hivi sasa zinashikana kote nchini humo, hali ambayo inaakisi ustaarabu unaodumu daima milele.

(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Renato Lu)

Picha