Lugha Nyingine
Hali ya mafungamano ya zama za kale na za hivi sasa yaonekana kote nchini Misri (5)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 02, 2026
![]() |
| Picha hii iliyopigwa kwa simu ya mkononi Agosti 30, 2026 ikionyesha mandhari ya Cairo, Misri. (Xinhua/Cai Yang) |
Misri ni maskani ya ustaarabu wa zama za kale ambao ulistawi kando za Mto Nile. Kutoka mapiramidi ambayo yamesimama kidete kwa miaka elfu moja hadi miji yake ya kisasa yenye pilika nyingi, hali ya zama za kale na ya zama za hivi sasa zinashikana kote nchini humo, hali ambayo inaakisi ustaarabu unaodumu daima milele.
(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Renato Lu)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




